Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Daah hope yupo salama ila majukumu tu yatakua yamembana. Maana kapotea hadi kule siasani
 
Kama ilivyo mambo mengine kuwa na ubunifu ni suala la kujifunza, baadhi ya wanaume waliokuzwa kwenye jamii yenye mfumo dume (Waafrika kwa ujumla) huwa hawajui kuonyesha hilo hitaji, ebu tuliite “kupenda kwa vitendo” huenda sio kwamba hataki bali hajui.
 
Kwa maana hiyo sio mbaya ikiwa wewe mwanadada ukamfundisha nini cha kufanya, ikiwa na wewe ulikuwa hujui basi jifunzeni wote ili kuwa na uhusiano bora wenye furaha kwa kufuata haya mambo machache ambayo wanawake wengi huwa hupenda kufanyiwa ili wajue kweli wanapendwa kihisia na vitendo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…