Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

2.2282064903915136E18.jpeg
 
I know [emoji3][emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
Ila aliposemwa wapigwe nadhani ilikuwa 2010 , nilikuwa mdada tayari.
Halafu Kuna Kaka yangu alikuwa anapenda Sana kumuiga pinda anavyoongea,Mara kwa Mara akawa anamuiga alivyosema wapigwe..tukawa tunacheka tu.
Hadi Sasa ukikutana nae anaanza kuongea,Tena anaongea Kama yeye vilevile.

😃😃😃😃 andaeitini mna matatizo sana yaani 2010 unajisifia ulikua mdada?

umeamkaje Stella
 
Back
Top Bottom