Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Ila aliposemwa wapigwe nadhani ilikuwa 2010 , nilikuwa mdada tayari.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119]
😃😃😃😃 andaeitini mna matatizo sana yaani 2010 unajisifia ulikua mdada?Ila aliposemwa wapigwe nadhani ilikuwa 2010 , nilikuwa mdada tayari.
Halafu Kuna Kaka yangu alikuwa anapenda Sana kumuiga pinda anavyoongea,Mara kwa Mara akawa anamuiga alivyosema wapigwe..tukawa tunacheka tu.
Hadi Sasa ukikutana nae anaanza kuongea,Tena anaongea Kama yeye vilevile.
Sent using Jamii Forums mobile app
2010 miaka 10 imepita.[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] andaeitini mna matatizo sana yaani 2010 unajisifia ulikua mdada?
umeamkaje Stella