Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,950
- 236,667
Hbd! JiraniThank u babe 🙏
Nimekua mzembe sana siku hiziNdiwooo[emoji23][emoji23]
Hahah!simuelewi mpaka dakika hiii...
halafu davet ana mikono ya kikeee.
hii comment siifutiii kama anataka vita na valencia namkaribishaaa.
nilidhani davet ni muarabu kumbe ni mtoto wa geti kaliii..
huku kwetu zenji watu aina ya davet wanaitwa abuiii..
abuiii njoo ulale
abuii chakula tayari
abuii usichezee uchafu
abuii nimekuletea game uchezee
Hahah!
Wewe bwege wewe naona unanitafuta ubaya [emoji3]