moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
niliwahi kuwa na rafiki nyakati za sekondari alikuwa anaitwa abdul nassir...
cha ajabu ukienda nyumbani kwao anaitwa abui na mama yake.
😂😂😂😂😂😂 daah!Hahahahaha anazingua kweli Eti Abuii
Mkatalunya unazinguaKwahiyo Mkatalunya unataka awe abuii [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
abui davetKwahiyo Mkatalunya unataka awe abuii [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
anachochea kuniMkatalunya unazingua
Namuona tu ata mimianachochea kuni
jamaa ni mbaya sanaaaNamuona tu ata mimi
Mkatalunya unazingua
Yaishe mwanangu mana watoto wazuri watanichukulia mtoto wa mama wakati me ni askari wa motoniabui davet
Hahah! Achana nae usimzingatieHuyu Mkorea Manchester United inamchanganya Mkatalunya
kuna taarifa nimeoina leo bwana ole anawarushia madongo jose mourinho na louis van gaalHuyu Mkorea Manchester United inamchanganya Mkatalunya
Happy birthday bae wa mtu. Sasa unakaribia kuvuka uandaeitin kama wa stella ati 2010 kalianza kuwa kamdada wakati wengine tulikua tunakimbizana na wajukuuHBD in adv 😃
Pesa mwanaharamuPESA NI SHETANI
PESA SI SHABANI