Cole Williams
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 35,345
- 201,629
Pesa mwanaharamu
Kabisa Ester Binti Mpole
Pesa mwanaharamu
kuna taarifa nimeoina leo bwana ole anawarushia madongo jose mourinho na louis van gaal
huo upole wake unatokea wapi?Kabisa Ester Binti Mpole
Mkatalonia mzee wa pasi 1000 naona jana mmepata chamoto
Comments za uzi huu zinasikitisha
![]()
JAFO ICHUNGUZE JANGWANI GIRLS,KUNA WALIMU WAFUATAO WANATEMBEA NA WANAFUNZI
walimu wafuatao wachunguze kwa jicho la karibu wanaharibu shule yako pendwa Tanzania, 1.mwl wa somo la chemistry.... 2.mwl wa somo la Gs.... fanya uchunguzi wako,utajua ninayokuambia... mmoja yupo lodge iliyopo sinza mori akiwa na binti mwanafunzi wake tangu jana usiku...fatilia tafadhaliwww.jamiiforums.com
huo upole wake unatokea wapi?
mbona niliwahi kusikia aliwahi kumpiga hance mtanashati mpaka akamng'oa menoo
mbona comment zinavutiaaa....
jamaa amejiona amepatia kumbe unaandaa mazingira ya mtuhumiwa kufuta ushahidi
huenda jamaa ni muhanga wa matukio yanayofanywa na hao walimu aliowatajaSi ndiyo hapo lakini wewe ungekuwa wewe ungefanyaje mimi naona jamaa angefanya mambo yake tu
PESA NI SHETANI
PESA SI SHABANI
Pesa sabuni ya rohoPesa mwanaharamu
Stella anajisahau sana,hapa bado hatujasahau tausi,mara gauni la yanga[emoji23][emoji23][emoji23]Yaani hiyo taarifa ya 2010 kuanza kuwa kamdada hata mimi imenishtua[emoji23][emoji23][emoji23]
2010 kamdada[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]