moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Wapi?[emoji1787]Usisahau na pale juu[emoji23][emoji23][emoji23]
Asante wakishua. Ila me kwenye kuwa kimdada ilikuwa tokea 2007 🤣🤣Happy birthday bae wa mtu. Sasa unakaribia kuvuka uandaeitin kama wa stella ati 2010 kalianza kuwa kamdada wakati wengine tulikua tunakimbizana na wajukuu
Shukrani 🙏Heri ya siku yako Mkuu ukawe na Maisha yeyote yale unayoyaweza si unayoyataka