Mfilisti
JF-Expert Member
- Sep 24, 2015
- 3,729
- 19,466
Hadi Phil Jones kafunga leo[emoji2][emoji2][emoji2]Six goaaaaaaaaalssssssss[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
#siehatunagakelele
Nashangaa haukuitika.Kwa ile sauti ya kwanza haiwezekani nikawa sikusikia, trust me haiwezekani ile sauti inakuwaga na hisia za upole na unyenyekevu
Nna wasiwasi umeturoga.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]yaani una draw na Strawberry?
Mwanitesa mna tabu.Kitu cha droooooo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] stella kimyaaaaa kama sio yeye
Manjesta yunaitedi😁😁Mwanitesa mna tabu.
Jinsi gani mnaiogopa liva Hadi hamuamini km imedraw
Sent using Jamii Forums mobile app
Nashangaa haukuitika.
Hiki kiherehere changu Cha kukuitaita dah[emoji1751]
Sent using Jamii Forums mobile app
ha ha timu lako libovuNna wasiwasi umeturoga.
Kwanza toka umeanza kutuma mavampire kule juu nilipata wasiwasi
Sent using Jamii Forums mobile app