Cole Williams
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 35,345
- 201,629
Dah,ukanikalia kimya [emoji1751]Hakuna usiseme hivyo, hata hakikuwa kiherehere umeimbisha Leo Stella?
Yaani sisi kudraw wanashangilia.Manjesta yunaitedi[emoji16][emoji16]
Ajali haina Kinga.Hii ni kwenye game ya Lakers..siku mbl tu hapa halaf leo hii unaambia jamaa katangulia..
Kweli Duniani tupo kwa muda tuView attachment 1336246
hujaiona ikipiga mtu sita leo?
lini unalitaka mke wanguNaona hili litanifaa [emoji7][emoji7][emoji7]
Lakers this season wanatakiwa wa win NBA kivyovyote iwededication kwa The Black Mamba.Hii ni kwenye game ya Lakers..siku mbl tu hapa halaf leo hii unaambia jamaa katangulia..
Kweli Duniani tupo kwa muda tuView attachment 1336246
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] liverfools achen hizo hamuamini kama mmechonga droo yaan vileMwanitesa mna tabu.
Jinsi gani mnaiogopa liva Hadi hamuamini km imedraw
Sent using Jamii Forums mobile app