D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,665
- 121,102
wanaume wa dar munakwama wapi?
ndio maana uchumi unashuka
ndio maana uchumi unashuka
Kifo cha kawaida au figisu figisu. RIP....
Maisha haya maana yake hasa ni nini? Tulizaliwa ili tufanye nini? Aaaaargh !!!
List ya Wasukuma waliozamia MAREKANI na majina yao ya asili.
1.RICK ROSS (Mabula Kinasa Lung'wecha)
2.KANYE WEST (Shija Bundara Madilisha)
3.Chris Brown (Kanoni Masebu Lugwisha)
4.Young jeez (Daniel magula Kapagala)
5.Jay Z (Nyanda Itulabusiga)
6.Nelly (Lameck Shadeda Ngofilo)
7.5OCENT (Kipeja Mang'ondi)
8.R.KELLY (Budodi Lupagage)
9.RIHANNA (Ng'washi Bujingwa Bulawandama)
1O.SNOOP DOGG (Samson Macheyeki Nteng'walushu)
Team TRM mtuwache. Esther umeelewa jina lolote hapo?