moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Haya yametoka wapi mpendwa [emoji23][emoji23][emoji23]good morning...
- supu ya kuku
- supu ya pweza
- urojo
- maandazi
ukitaka kufahamu udhaifu wa mtanzania kwenye ulimwengu wa fasihi mwambie akuandikie ujumbe wa kukutakia kheri ya kuzaliwa, harusi, ndoa, kheri yamafanikio n.k
atazungumza maneno yale yale ya kila siku....
nakutakia kheri na fanaka mpendwa ....
... blah blah kibaoo
teh teh
[emoji3][emoji3] eti Depal ahjummaa, huyu ni agassiteh teh
nimeyashuhudia tena siku chache zilizopita, wazee wa likes walipokuwa wanamtakia kheri ya kuzaliwa depal ahjummaa.
ningendako ndio aliharibu kabisaaaa.... no romanticoo no inspirations..
Hbd! KwakeHappy bday carbamazepine[emoji41][emoji41]
HBD to u...............Happy bday carbamazepine[emoji41][emoji41]