Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

FB_IMG_1580181497540.jpeg
 
View attachment 1337511

TARIA TOPAN


Mfanya biashara, "mwana mfalme" wa kihafidhina, ambaye alijipatia utajiri wa mailioni kutokana na biashara ya karafuu na mamilioni mengine zaidi wakati alipokuwa anafanyakazi kama mkusanyaji Ushuru wa Forodha katika bandari ya Unguja na Pemba.

Katika dhamana ile, alitakiwa kumlipa Sultani kiwango kikubwa kisichobadilika cha ada kila mwisho wa mwaka, kutokana na fursa aliyopata kwa kuteuliwa mkusanyaji mapato. Alipiga mahesabu na kuona kuwa angeliweza kukusanya pesa nyingi zaidi kuliko zile ambazo angelilipa, kama ikiwa biashara ingekwenda vyema. Na kwa wakati ule, biashara Zanzibar ilikuwa nzuri. Bei ya karafuu na viungo vyengine ilikuwa juu, mahitaji yalikuwa makubwa na bidhaa za viwandani ambayo vitu hivi zilifanyiwa biashara zilionyesha kushuka kupungua kila mwaka, kwa vile vitendea kazi na mbinu za kutendea kazi vilikuwa rahisi katika nchi za Magharibi.

Kwa utajiri wake huu, Topan aligeuka kuwa mfadhili Mkuu wa mji. Aliweka Wakfu na kujenga Kituo cha Afya kilichonakishiwa ambacho kipo Kaskazini kabisa mwa Bandari ya Mji Mkongwe. Vile vile alitoa "Wakf" vikataa vya ardhi vilivyokusudiwa kuwanufaisha wazee wasiojiweza.
👍 👍 👍
 
Nakwenda Miami kwenye Superbowl. Kama unakwenda tukutane huko Poti utoe u Tomaso wako...Na mkongojo wangu wallahi [emoji16][emoji16][emoji16]
Miami siendi aisee, nitakuvizia tu siku moja huko Gamboshi nikuone. Huko kwenye Super Bowl watu wameshalangua tickets zote, sasa hivi wanauza $4000 mpaka $5000 kwa ticket moja. Hiyo $4000/5000 nikimrushia Mama mzaa Yego ataifanyia la maana sana! 😀 😀
 
  1. supu ya kuku
  2. supu ya pweza
  3. urojo
  4. maandazi
good morning...
ukitaka kufahamu udhaifu wa mtanzania kwenye ulimwengu wa fasihi mwambie akuandikie ujumbe wa kukutakia kheri ya kuzaliwa, harusi, ndoa, kheri yamafanikio n.k


atazungumza maneno yale yale ya kila siku....
nakutakia kheri na fanaka mpendwa ....

... blah blah kibaoo
 
Back
Top Bottom