Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,950
- 236,667
Jamani [emoji23][emoji23]Ongezea Mtakatifu Stella ni zuri pia au unaonaje
Mimi Ni Anne
Sent using Jamii Forums mobile app
Jamani [emoji23][emoji23]Ongezea Mtakatifu Stella ni zuri pia au unaonaje
Duhhumu ndani mdogo wao ndiye mkubwa wao...
mishil ndiye mdogo wao kwa upande wa wanawake
moudgulf ameangalia mikanda ya video ya zamani ya movies na mipira baadae akija humu anajifanya muhenga.
utumie Nini?Sawa basi naomba Mimi nitumie Stella
Na mimi bro (ifu posibo). Stella linabamba mbaya yaani [emoji16][emoji16][emoji16]Sawa basi naomba Mimi nitumie Stella
Nimeshakwambia. Kwa jinsi unavyozidi kulikana hili jina ndiyo linazidi kukamata. Ila mpaka nakuonea huruma masikini ulivyokazana kukana...Pole [emoji1545][emoji1545]
Nakwenda Miami kwenye Superbowl. Kama unakwenda tukutane huko Poti utoe u Tomaso wako...Na mkongojo wangu wallahi [emoji16][emoji16][emoji16]Hapa inabidi niwe ka Thomaso aisee! [emoji3][emoji3]
Na mimi bro (ifu posibo). Stella linabamba mbaya yaani [emoji16][emoji16][emoji16]
Naona unakuja kugongea nyundo[emoji23][emoji23][emoji23].Nimeshakwambia. Kwa jinsi unavyozidi kulikana hili jina ndiyo linazidi kukamata. Ila mpaka nakuonea huruma masikini ulivyokazana kukana...Pole [emoji1545][emoji1545]
Nitake radhi Mtakatifu Anne (mimi nimegoma kukuita Stella)[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Andaeitini huwa wanajulikana tu[emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Atafika huko atashangaa hamuoni babu mwenye mkongojo.[emoji1]Nakwenda Miami kwenye Superbowl. Kama unakwenda tukutane huko Poti utoe u Tomaso wako...Na mkongojo wangu wallahi [emoji16][emoji16][emoji16]
Hapana. Mimi nakutetea. Cole ni kaka yako ndiyo maana nami nimeunga utani wa ugonile [emoji16][emoji16][emoji16]Naona unakuja kugongea nyundo[emoji23][emoji23][emoji23].
Wasukuma bwana dah.
Basi Mimi nitumie Hilo lako la shimba
Sent using Jamii Forums mobile app
Atanionea huruma sana....
Dah afadhali nimepata aliye upande wangu[emoji18]Nitake radhi Mtakatifu Anne (mimi nimegoma kukuita Stella)
Atashangaa kijana HB wa kisukuma [emoji7]Atanionea huruma sana....
HahahahaahHapana. Mimi nakutetea. Cole ni kaka yako ndiyo maana nami nimeunga utani wa ugonile [emoji16][emoji16][emoji16]
Kinyakyusa hiki au Kindendeule?