Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

IMG_20200123_220838_275.jpg
 
Mwishoni Shimba alimtaja jina lake lote Stella Mamuya,, na mimi kambi niliyopiga course mujibu wa sheria kulikuwa na Mama mmoja mwanajeshi alikuwa anaitwa Afande Mamuya ndiyo maana nikamuuliza kuwa huyo Stella mama yake ni mwanajeshi au pengine labda ni majina tu yamefanana??
Nimesoma.
Umeuliza mama kwa sababu zipi wakati hoja ni kwamba Stella alikuwa anatongozwa na maafande na makuruta. ikabidi ahamishiwe kwa mkuu wa kambi ili kumuepushe na manyanyaso hayo.
Mi nimeelewa hivyo, sijui mama yake anahusikaje.
Fafanua mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwishoni Shimba alimtaja jina lake lote Stella Mamuya,, na mimi kambi niliyopiga course mujibu wa sheria kulikuwa na Mama mmoja mwanajeshi alikuwa anaitwa Afande Mamuya ndiyo maana nikamuuliza kuwa huyo Stella mama yake ni mwanajeshi au pengine labda ni majina tu yamefanana??

Sent using Jamii Forums mobile app
Nilikwenda JKT zamani sana wakati wewe ukiwa bado hujazaliwa na kambi niliyokwenda hakukuwa na afande Mamuya labda kama alikuja baadaye. Mimi naongelea miaka ya 70 huko [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Andaeitini huwa wanajulikana tu[emoji1787]

Back
Top Bottom