Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

FB_IMG_1579042527571.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Husein Minja ambaye ni Mfanyabiashara Wilayani Mwanga, Kilimanjaro amesema baada ya kuvamiwa na Watu wanne wanaodaiwa ni Waporaji akiwemo Tilya ambaye ni Mfungwa aliyesamehewa na Rais Magufuli, walimkata sikio na kuchukua Tsh.Million 12 lakini alipambana nao hadi akafanikiwka kuokoa Tsh.Milion sita na wakaondoka na Million 6.
•
Minja anasema alipigwa hadi kuzimia na aliposhtuka alimuona Tilya akiwa kwenye dressing table, akachukua panga na kumkata kiunoni ili kujiokoa huku akipiga kelele, Majirani wakaingia na kumshambulia Tilya hadi kufariki.
walimkata sikio lote au walimnyofoa kipande?
 
Nimesoma.
Umeuliza mama kwa sababu zipi wakati hoja ni kwamba Stella alikuwa anatongozwa na maafande na makuruta. ikabidi ahamishiwe kwa mkuu wa kambi ili kumuepushe na manyanyaso hayo.
Mi nimeelewa hivyo, sijui mama yake anahusikaje.
Fafanua mkuu
Soma vizuri mkuu nimeulizia mama yake

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huwa unaniudhi sana kuiponda Simba, siku ukisapoti Simba nitakusifia kwa kila kitu chako na jina la stella litakufa mara moja[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Karibu simba Saint anne aka Stella[emoji2089][emoji2089]
Hadi wewe Leo hunisapoti!?lol?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Halafu Jana tumeshinda bro..ile ofa inabidi tujipongeze leo

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aseeee, kuna watu wanatakiwa kubaki kizuizini mpaka kifo kiwakute

Back
Top Bottom