Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Husein Minja ambaye ni Mfanyabiashara Wilayani Mwanga, Kilimanjaro amesema baada ya kuvamiwa na Watu wanne wanaodaiwa ni Waporaji akiwemo Tilya ambaye ni Mfungwa aliyesamehewa na Rais Magufuli, walimkata sikio na kuchukua Tsh.Million 12 lakini alipambana nao hadi akafanikiwka kuokoa Tsh.Milion sita na wakaondoka na Million 6.
•
Minja anasema alipigwa hadi kuzimia na aliposhtuka alimuona Tilya akiwa kwenye dressing table, akachukua panga na kumkata kiunoni ili kujiokoa huku akipiga kelele, Majirani wakaingia na kumshambulia Tilya hadi kufariki.
 
Back
Top Bottom