Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Aiseee huyo Stella mama yake naye ni mwanajeshi au??
Wewe likubali tu yaishe. Ukiendelea kukomaa ndiyo kabisa litakamata....

Ila akina Stella huwaga warembo sana. Tulikuwa naye mmoja JKT maafande walikuwa wanamgombania kama mpira wa kona mpaka akahamishiwa kwa mkuu wa kambi kuwa anapikia wageni wakubwa wakubwa wakija kutembelea kambi. Kwenye kombania hatukumuona tena....

Stella Mamuya - toto jeupe guu guu tako tako umbo mkatiko vibukta vile vya makuruta havikubali aisee.....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
FB_IMG_1579842042538.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Teh teh teh.
Ikishindikana aweke kitambulisho cha NIDA[emoji23][emoji23][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Kwa mamlaka niliyojipa kuanzia leo tutakutambua kwa jina la Stella kama hulitaki na unabisha hili jina sio lako weka cheti cha kuzaliwa[emoji41][emoji41]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom