Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Unatumia nguvu kubwa kutetea weledi wa jina la Stella ingawa kuna ushuhuda mwingi kuhusu wamiliki wa jina hilo.
Kwa vyovyote una uhusiano na jina hilo
Mimi niliona marahaba[emoji23][emoji23][emoji23]
Hilo jina limeongezewa..nafanyiwa hujuma[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nitaleta ushuhuda hapa, wa nguvu za giza nilizo shudia toka kanda ya Ziwa, baadaye toka kanda ya kati

1682

Ndo maana najiita anonymous forever.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Rekodi ya ajabu kwenye ligi ngumu
Makali ya Liverpool si mchezo kwenye Ligi Kuu England. Kwa kuanzia Machi 28, 2019 wababe hao wa Anfield wanaonolewa na Jurgen Klopp wamevuna pointi nyingi kuliko timu nyingine yoyote, ambapo kwenye mechi 29 walizocheza wamevuna pointi 85, wakishinda 28, sare moja na hawajapoteza mchezo wowote.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wee nawe, kwani ukiitwa Stella kuna nini?
Unatumia siku nzima kulikataa jina lako kisa nini?
Nilishaona nimeanza kufanyiwa mazigaombwe hapa[emoji848]
Nina wasiwasi na wewe [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Mimi Kwenye huo Uzi nilifikaje kwani?
Kuna kitu hapa sio bure[emoji23][emoji23][emoji23]

BTW,jina si langu jamani

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
He!! Halo sasa mtu atalikana Mara mbili😂😂
Wewe likubali tu yaishe. Ukiendelea kukomaa ndiyo kabisa litakamata....

Ila akina Stella huwaga warembo sana. Tulikuwa naye mmoja JKT maafande walikuwa wanamgombania kama mpira wa kona mpaka akahamishiwa kwa mkuu wa kambi kuwa anapikia wageni wakubwa wakubwa wakija kutembelea kambi. Kwenye kombania hatukumuona tena....

Stella Mamuya - toto jeupe guu guu tako tako umbo mkatiko vibukta vile vya makuruta havikubali aisee.....
 
Back
Top Bottom