Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

264419844_176452.jpeg
 
Mwanaume mmoja nchini Nigeria amefumaniwa na mwenye mke baada kuingia kwenye nyumba ya mpenzi wake akiwa amevaa mavazi yanayovaliwa na wanawake wa kiislamu Hijab na Nikab, kumfuata mpenzi wake huyo ambaye ni mke wa mtu.
Mwanaume huyo alivuliwa mavazi hayo kisha akapewa kipondo cha kukata na shoka[emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1333189

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom