Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
ARSENAL inajipanga kumuongezea mshahara mara tatu zaidi kinda wake, Gabriel Martinelli, 18, ili kuikata maini Real Madrid ambayo imeanza kumnyemelea straika huyo aliyefunga mabao 10 katika mechi 21 msimu huu.ARSENAL inajipanga kumuongezea mshahara mara tatu zaidi kinda wake, Gabriel Martinelli, 18, ili kuikata maini Real Madrid ambayo imeanza kumnyemelea straika huyo aliyefunga mabao 10 katika mechi 21 msimu huu.