Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

IMG-20200124-WA0016.jpeg
 
ongeza dozi ya wallpaper raisi mpya aliyeshindwa kazi ndani ya wiki mbili
mfilisti
aliulizwa na raisi mstaafu..
utaiweza kazi ya kuweka makalio kwenye uzi pendwaaaa..
akajibu naweza bwanaaaaaa

ohoooo kama huwezi bora hii huduma nimrithishe mzee wa poleni wafanyakazi..
akajibu tena naweza bwanaaaaa
 
ongeza dozi ya wallpaper raisi mpya aliyeshindwa kazi ndani ya wiki mbili
mfilisti
ha ha kazi zipo za kutosha mbona tumehama tupo huku

humu andaeitini wengi
 
Husein Minja ambaye ni Mfanyabiashara Wilayani Mwanga, Kilimanjaro amesema baada ya kuvamiwa na Watu wanne wanaodaiwa ni Waporaji akiwemo Tilya ambaye ni Mfungwa aliyesamehewa na Rais Magufuli, walimkata sikio na kuchukua Tsh.Million 12 lakini alipambana nao hadi akafanikiwka kuokoa Tsh.Milion sita na wakaondoka na Million 6.
•
Minja anasema alipigwa hadi kuzimia na aliposhtuka alimuona Tilya akiwa kwenye dressing table, akachukua panga na kumkata kiunoni ili kujiokoa huku akipiga kelele, Majirani wakaingia na kumshambulia Tilya hadi kufariki.
Duh!!
 
ha ha kazi zipo za kutosha mbona tumehama tupo huku

humu andaeitini wengi
samahani sana kwa kitendo changu cha kumkejeli raisi hadharani...
nimeona utendaji wako uliotukuka...
nyumba ni chooo

wanawake wa humu ndani wote wamezaliwa kuanzia mwaka 1970
 
Back
Top Bottom