Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

464919847_141143~2.jpeg
 
ASTON Villa inasubiri kwa hamu straika wao mpya Mbwana Samatta apate kibali cha kazi ndani ya wiki hii ili wamtumie kwenye mchezo wa nusu fainali ya pili ya Kombe la Ligi dhidi ya Leicester City Jumanne ijayo.
huyo samatta anatibu tatizo la nguvu za kiume?

mbona kelele zimezidi kuwa nyingi
 
“Suso ndiye mtu aliyemwona na skauti wengine tuliowatuma wakamtazame. Ni mfungaji mabao ni mwanamichezo wa kweli. Kama kuna aliyetazama Ligi ya Mabingwa Ulaya msimu huu basi atakuwa ameona mabao yake, likiwamo lile la kichwa matata kabisa dhidi ya Liverpool. Nasubiri kwa hamu kufanya naye kazi.”
 
Back
Top Bottom