Ayyanna
JF-Expert Member
- Jan 5, 2020
- 397
- 2,648
Salama tu, hili jina lako tu ndio huwa linakonga sana mtima na linanikumbusha mbali sana.
Wacha wee[emoji2]Salama tu, hili jina lako tu ndio huwa linakonga sana mtima na linanikumbusha mbali sana.
Acha kuniharibia. Nataka niongeze mke wa tatu.
Safii.............
Simwagi mchele kwenye kuku wengi.Tukumbushane