Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
4. Mahindi ya njano yana vitamin A kwa wingi ambayo ni muhimu kwa afya ya macho, ngozi na mifumo mbalimbali mwilini.
Sawasawa.....4. Mahindi ya njano yana vitamin A kwa wingi ambayo ni muhimu kwa afya ya macho, ngozi na mifumo mbalimbali mwilini.
Kweli kabisa............3. Hupunguza hatari ya kupata magonjwa yasiyiambukizwa yakiwemo kisukari, uzito kupita kiasi, shinikizo la damu n.k kwa sababu kiasi cha wanga kinachoweza kuchukuliwa huwa kidogo kwenye dona kuliko sembe.
😂 😂 😂 😂 😂
Wengine wanakataa hayo madini 😂 😂 😂Tumia dawa ya meno yenye madini ya fluoride.