Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Bila shaka atakuwa na ligi mahali [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] unataka unampige nani Numbisa punguza ukorofi
Sent using Jamii Forums mobile app
Bila shaka atakuwa na ligi mahali [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] unataka unampige nani Numbisa punguza ukorofi
Sent using Jamii Forums mobile app
Ustaadh alikuwa anachangamsha gengeUmesahau mpendwa kwenye ule uzi wa Mshana sio mbaya mkiwa wake wenza wanne.
Na nyingine hii chukua ikakusaidie kwenye mapambano yako [emoji16][emoji16][emoji16]the don himself naomba hii GIF kama unayo ya wacheza basket mmoja anampiga mpira mchezaji mwenzie wa timu pinzani kichwani.
Hata nami natania mpendwa
Hahahaha..Hata nami natania mpendwa
Utakuwa umechanganya, huyu alinikataa hadharani kabisa hataki mitala/matala.Wewe na Ostadh na kadi mkanipa ilikuwaje tena ukatuahidi na dini utabadili kwa ajili ya Z.
Atakuwa amechanganya mafile.Utakuwa umechanganya, huyu alinikataa hadharani kabisa hataki mitala/mitala.
Hata kwa Karma atakuwa amechanganya pia, nyote mlinikataa.
Endelea kuwinda,unaweza kuopoa chombo kimasikhara[emoji2].Hata kwa Karma atakuwa amechanganya pia, nyote mlinikataa.
Sasa nimehamia huku, ukiona mahali hutakiwi unabakubali yaishe kisha unabadili mwendo.
Mungu akupe hitaji lako InshallahHata kwa Karma atakuwa amechanganya pia, nyote mlinikataa.
Sasa nimehamia huku, ukiona mahali hutakiwi unabakubali yaishe kisha unabadili mwendo.
Hakuna kuopoa Kimasikhara hapa tunatanguliza dhamira na mkakati wa kazi.Endelea kuwinda,unaweza kuopoa chombo kimasikhara[emoji2].
Nilikuona sehemu pia unawinda..ukishindwa kuopoa hapa Basi itabidi ukaoge hapo baharini[emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Mungu akupe hitaji lako Inshallah
Nadhani binti ustaadhat ameona na atakujibu.Hakuna kuopoa Kimasikhara hapa tunatanguliza dhamira na mkakati wa kazi.
Subiri uone.
Mwambie hivi Hawachi kama nafasi kwake iko wazi huku kwangu zimebaki nafasi mbili, kama vipi tuyajenge, au niombee kabisa kwake anikubali, maana ndege warukao pamoja tunafanana na mimi na Hawachi kuna sehemu tunakutanishwa pamoja.