Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hata kwa Karma atakuwa amechanganya pia, nyote mlinikataa.

Sasa nimehamia huku, ukiona mahali hutakiwi unabakubali yaishe kisha unabadili mwendo.
Endelea kuwinda,unaweza kuopoa chombo kimasikhara[emoji2].
Nilikuona sehemu pia unawinda..ukishindwa kuopoa hapa Basi itabidi ukaoge hapo baharini[emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Endelea kuwinda,unaweza kuopoa chombo kimasikhara[emoji2].
Nilikuona sehemu pia unawinda..ukishindwa kuopoa hapa Basi itabidi ukaoge hapo baharini[emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna kuopoa Kimasikhara hapa tunatanguliza dhamira na mkakati wa kazi.

Subiri uone.

Mwambie hivi Hawachi kama nafasi kwake iko wazi huku kwangu zimebaki nafasi mbili, kama vipi tuyajenge, au niombee kabisa kwake anikubali, maana ndege warukao pamoja tunafanana na mimi na Hawachi kuna sehemu tunakutanishwa pamoja.
 
Nadhani binti ustaadhat ameona na atakujibu.
Basi hapa unaongea kistaarabu utadhani sio wewe[emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…