Hawachi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2018
- 12,010
- 54,204
Nafasi haiko wazi Zurri ina muhusika jaribu kwa mwingine.Hakuna kuopoa Kimasikhara hapa tunatanguliza dhamira na mkakati wa kazi.
Subiri uone.
Mwambie hivi Hawachi kama nafasi kwake iko wazi huku kwangu zimebaki nafasi mbili, kama vipi tuyajenge, au niombee kabisa kwake anikubali, maana ndege warukao pamoja tunafanana na mimi na Hawachi kuna sehemu tunakutanishwa pamoja.
Hii ndio maana halisi ya kazi, hapa niko kazini bibie. Chezea mshahara sio kazi, ndio maana niko hivi.Nadhani binti ustaadhat ameona na atakujibu.
Basi hapa unaongea kistaarabu utadhani sio wewe[emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Nafasi haiko wazi Zurri ina muhusika labla mwingine.
Hivi kwanini huwa kwenye tamko "kabla" unapenda kuandika "labla" hili naliona zaidi ya mara 23 hivi.Nafasi haiko wazi Zurri ina muhusika labla mwingine.
ukila tunda la kimasihara hapo raha sana
Wabheja sana broNa nyingine hii chukua ikakusaidie kwenye mapambano yako [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1339919
Aiseeh!!MAPENZI NI HISIA KALI ZINAZOUMIZA LAKINI KAMWE HAZICHOSHI
Na wewe unakunywa?Mimi Huyo?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Basi ntakuwa nilipiga vyombo
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa nimekuelewaUkiwa unamuombea mtu dua usimalize na tamko "In Shaa Allah". Nitakupa maelezo zaidi juu ya hili, namba yako si ile ile ? (Kwenye namba natania).
Nimeshangaa kwa kweliNa wewe unakunywa?
Nikuletee kinywaji gani??
Asante dadaNa wewe unakunywa?
Nikuletee kinywaji gani??