ho chi minh
JF-Expert Member
- Sep 27, 2016
- 32,904
- 163,077
[emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji870][emoji870][emoji870][emoji870]Don't regret growing older.
It's a privilege denied to many.
.
.
Habari njema ni kwamba nguvu ya misuli inaweza kuimarishwa kwa mafunzo ya kupunguza uzito na kufanya mazoezi ya mwili, amesema Celis-Morales. “Ujumbe wa jumla ni kwamba haijalishi kwa muda gani umekaa au kuangalia runinga hata kama uko imara na hai kimwili,” amesema. “Ikiwa utatembea, kusimama na kujinyoosha hautapata athari sawasawa na mtu ambaye amekaa muda wote bila kupasha misuli.”
Na wale wanaotupenda sisi waume za watu inabidi wawapende na wake zetu.
Gonga likes kamanda. Huku ni upendo tu hakuna kingine...