Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Hajakatazwa kukomenti cho chote. Agonge tu likes na ajisikie huru kuweka cho chote anachotaka bila kuhisi ulazima wa kumkwoti mtu. Kipi ambacho hakieleweki hapo?
Hajakatazwa kukomenti cho chote. Agonge tu likes na ajisikie huru kuweka cho chote anachotaka bila kuhisi ulazima wa kumkwoti mtu. Kipi ambacho hakieleweki hapo?
Mkifungwa please niamshe [emoji16][emoji16][emoji16]
Baharia hoovyoooo !!!![]()
Wasichana wa jf wanajikomba kwangu
Napata tabu Sana wadada wengi wa jf wananitaka kimapenzi wakiamini Mimi ni gentamycine nimechoka Sana kwasiku napata love request zisizopungua 20 hii inaniudhi. Nampenda mke wangu mama f kuliko kimada yeyote humu. Siwataki na msinisumbue plz.www.jamiiforums.com
Sent using Jamii Forums mobile app
Haki ya Nani[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hajakatazwa kukomenti cho chote. Agonge tu likes na ajisikie huru kuweka cho chote anachotaka bila kuhisi ulazima wa kumkwoti mtu. Kipi ambacho hakieleweki hapo?
Usijali..Mkifungwa please niamshe [emoji16][emoji16][emoji16]
Tumeshampa mimba mtu huko
Mtu akikusoma atajua mstaarabu kumbe hakuna kitu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23]