Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 62,068
- 127,679
[emoji16][emoji16][emoji16] jamani tumeambiwa tukomenti chochoteGonga likes kamanda. Huku ni upendo tu hakuna kingine...
[emoji3591][emoji3591][emoji3591]Hizi video zako za Dada wa Kazi unaweka huku zinahusu nini? Ni matangazo ya biashara ama? Ni afadhali kama ungeziwekea maelezo kidogo kuliko kuja kuzirundika tu hivi....Na unaweza kuziweka tu moja kwa moja bila ku-quote watu...jisikie huru....
Mtu akikusoma atajua mstaarabu kumbe hakuna kitu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hii ndio maana halisi ya kazi, hapa niko kazini bibie. Chezea mshahara sio kazi, ndio maana niko hivi.
Komaa kijana.Limepita hilo bibie, ngoja nikomae na Ayyanna sasa.