Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hawa ni hatari sana. Wanakula kila mmea na kuteketeza kila kitu. Mwaka kesho Kenya kutakuwa na njaa kali sana. Uzembe wa serikali. Kweli hawana ndege za kunyunyizia madawa na kuwaua?
[emoji134][emoji134][emoji134]
Basi Mimi kuwasoma kwangu kote Kwenye Biblia Yale mapigo kumi ya pharaoh..
Sijawahi kuwajua wanafananiaje

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Haki nimecheka Mimi.
We nae swaga zako za kutisha Watu[emoji1787][emoji1787]
Na nitamshawishi akuquote na kesho[emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
Anaquote na mavideo yake yasiyo na kichwa wala miguu hata likes hatoi; whai? Mbona asiweke tu mavideo yake bila kukwoti watu?

Kama na wewe unataka kutesti zali jaribu. Anza kunikwoti mambo ya ajabu ajabu halafu usinipe likes ukione cha moto [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Kumbe[emoji2960]
Ngoja kesho nianze Hilo zoezi.

Ila chukia yako inachekesha,unakuwa Kama umechukia hujachukia hivi[emoji1787].
Mm nilivyoona tu comment yako nikajua hapa tayari[emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kumbe[emoji2960]
Ngoja kesho nianze Hilo zoezi.

Ila chukia yako inachekesha,unakuwa Kama umechukia hujachukia hivi[emoji1787].
Mm nilivyoona tu comment yako nikajua hapa tayari[emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi siyo mgomvi. Matani mengi tu hakuna kitu. Na wewe najua uko kapole sana. Maisha menyewe haya mafupi sana. Tucheke na kufurahi kwa sababu hakuna namna [emoji16][emoji16][emoji1545][emoji1545][emoji1545]
 
[emoji134][emoji134][emoji134]
Basi Mimi kuwasoma kwangu kote Kwenye Biblia Yale mapigo kumi ya pharaoh..
Sijawahi kuwajua wanafananiaje

Sent using Jamii Forums mobile app
Wako kama panzi. Nguvu yao kubwa ipo kwenye namba. Yaani kundi moja (swarm) wanaweza kuwa hata milioni kadhaa yaani wakisafiri wanaweza hata kuziba mwanga wa jua kukawa na giza. Pale watakaposhukia basi kazi yao ni kula tu usiku na mchana na kumaliza kila kitu.

Kuwadhibiti ni kuharibu sehemu yao ya kuzaliana na kuwaua kwa madawa (fumigation) na kuwaangamiza kimoja japo wataalamu wanasema kutokana na mabadiliko ya hali ya hewa yanayotokea duniani mambo kama haya yatakuwa ya kawaida tu.

Ukiongea na wazee mabaa mengi ya njaa hapo zamani yalisababishwa na nzige. Ni wadudu wa hatari na sijui Wakenya wamejipangaje. Hata sisi sijui tumejipangaje kwa sababu watakuja tu....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…