Mfilisti
JF-Expert Member
- Sep 24, 2015
- 3,729
- 19,466
wala sikuwa na maana ile iliozoeleka kwa vijana.kwamba unamaanisha nini?
ha ha ha nikajua unataka uniweke kwenye chama cha Wanyonga monkeywala sikuwa na maana ile iliozoeleka kwa vijana.
hii #TRM wakiiona watakutolea povu sanaila buradha mflisti mara hii umepata mke wa ukweli asiekua na muda na habari za mipasho kama ilivyo kwa shoga zake hance mtanashati.
ukimuacha nitampeleka nyumbani korea akajiliwaze.
snow flower
urojow
kimchi
makgeoli
viazi vya Numbisa.
akatengenezewe kali linuxMkuu Daemusin kiwanda cha sabuni kufanya nini?
mambo ya Ls, sudo, apt-get, whoami, pwdakatengenezewe kali linux
Duh!!Ukishakula kibao shavu linakuwa namna hiyo[emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1340607
Two in one.... π π π π
Aisee...
Pwani ya kupunga upepo...