D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,665
- 121,102
unataka nilale na njaa haliyakuwa unafahamu fika kazi ya uandishi wa habari haifungamani na upande wowote..ha ha ha ha yaani jirani unaona kabisa vijana wanataka kuchukua jimbo langu umekaa kimya tu?
naheshimu miiko ya kazi yangu ya uchonganishi na maudhi