Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

gazeti la urojoo.

mfilisti ndembe ndembe,
atokwa na jasho msimu wa baridi...
amtishia mpinzani wake aliyejitokeza siku chache....

aonekana kwa mganga akitafuta tiba ya tatizo lake linalomsumbua.

ujumbe wa mhariri daemusin..
ukitaka wa peke yako nenda kiwanda cha sabuni.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aisee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu Ayyanna anatuchora tu,ngoja aje nimuulize maswali, isiwe ni mambo ya kisa cha "Laila" huyu anadai Laila ni mpenzi wake na yule anadai Laila ni mpenzi wake na wale pia, lakini tukimuuliza "Laila" anawakana wote.

Mrembo Ayyanna huyu mfilisti ni nani kwako au anakuwinda kama navyokuwinda mimi ?
😃😃😃 Ayyanna hebu njoo huku
 
gazeti la urojoo.

mfilisti ndembe ndembe,
atokwa na jasho msimu wa baridi...
amtishia mpinzani wake aliyejitokeza siku chache....

aonekana kwa mganga akitafuta tiba ya tatizo lake linalomsumbua.

ujumbe wa mhariri daemusin..
ukitaka wa peke yako nenda kiwanda cha sabuni.
ha ha ha ha yaani jirani unaona kabisa vijana wanataka kuchukua jimbo langu umekaa kimya tu?
 
Back
Top Bottom