moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
aisee naona nalazimishwa kuanzisha vita
taratibu kijana mbona speed sana, inaonyesha kwenu hakuna wakubwa maana huna adabu kabisa na wakubwa
aisee yaani kupotea jukwaani siku moja ndo vijana wanataka kunipindua?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yani unampa mtu kibao mpaka anazimika, wewe ndiye mshindi.
Ukimpa mtu kibao akaishia kupiga chafya imekula kwako [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1340863
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahahaha.
Huo mchezo unachezwa Russia, nadhani kutokana na baridi ya huko wanalazimika kucheza michezo ya aina hiyo ili kusisimua misuli
Sent using Jamii Forums mobile app
Sijambo Gulf.. Shikamoo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hao wanaopigwa wanalipwa dolari ngapi?
Moud Mimi nitaenda kucheza Na wewe huu mchezo,nakunasa na kibao Hadi uzimie[emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app