Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mamba Sports Academy
FB_IMG_1580299546701.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo haimaanishi kuwa mawe hayo yanaingika njia ya reli dhidi ya maji kwa asilimia 100, la hasha! Haiwezekani lakini inawezesha mifereji ya maji chini na kuzunguka kwenye njia ili maji hayo yasikae muda mrefu na kudhoofisha uthabiti wa reli.
 
Ili kupunguza mitikisiko hiyo, kuna njia rahisi ya kushikilia vyuma ambayo hufyonza mtikisiko na kupunguza sauti ya msigano wa vyuma. Inahusisha mpira aina ya EPDM (Ethylene Propylene Diene Monomer) kwasababu una uwezo mkubwa wa kuzuia joto, maji na kasoro nyingine ya kiufundi.
 
Matokeo yake, mitikisiko na kelele hupungua kwa kiasi kikubwa na kuwafanya watu waliopo ndani ya treni kufurahia usafiri huo.

Tunachojaribu kusema ili tueleweke… ni kwamba kutoa mawe yaliwekwa kwenye reli sio jambo zuri kwasababu yamewekwa kwasababu maalumu ya kuimarisha reli na kuwalinda watu wanaotumia usafiri wa treni.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mchana kweupe[emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kimsingi mawe hayo huzunguka vipande vinavyojulikana kama ‘railway sleepers’ na ni mfano wa chaga za kitanda ambazo hushikilia godoro lisianguke na kwenye reli ni hivyo hivyo ambapo hushikilia vyuma vya reli visiyumbe wala kutoka pale vilipo na kuhakikisha treni haitoki nje ya mstari uliowekwa na wataalamu.
Kama hivyo ndivyo mbona vimawe hivyo haviko "bonded" kufanya kweli vyuma visitoke pahala pake ?

Nahisi kuna kazi yake mahsusi. Inawezekana Magnetically au Electrically.
 
Back
Top Bottom