Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,950
- 236,667
Macho yangu Mimi[emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Macho yangu Mimi[emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ina maana huyu mrembo ni mke wake au a yeye anapiga sound kama mimi ?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hamna namna nyinyi ndio mapambo yetu aisee.
Inapendeza.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sawa ustaadh..
Kila la kheri katika mawindo
Sent using Jamii Forums mobile app
Kazi ngumu sana hiyo.Nasubiri ukigeuze, ndio unielewe.
Mimi nitoe Kwenye hayo mapambo yakoHamna namna nyinyi ndio mapambo yetu aisee.
Wacha wee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ina maana huyu mrembo ni mke wake au a yeye anapiga sound kama mimi ?
Kama anapiga sound, hapa mwenelye kisu kikali ndio mla nyama.
Sijasema wewe ni pambo langu ila wewe ni pambo pia kwa mpenzi wako.
Nina kawaida zilizo nyingi ila hii si kawaida yangu.Wacha wee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hehehehehe Kama kawaida yako
Sent using Jamii Forums mobile app
Ooh hapo sawaSijasema wewe ni pambo ila wewe ni pambo pia kwa mpenzi wako.
Nimeandika kwa ujumla yaani wanawake ni mapambo yetu.
Kazi ngumu sana hiyo.
Humu naona kuna watu wananitisha wewe ni mtu wa mtu humu ? Au unawindwa kama navyokuwinda mimi ?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nina kawaida zilizo nyingi ila hii si kawaida yangu.
Haswaa.
Huwezi kuona utakuta manyoya tu.
Hayo ndiyo Mambo.Huwezi kuona utakuta manyoya tu.