Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,950
- 236,667
[emoji39][emoji39][emoji39]Uje tujipongeze kwa urojo wa kariakoo kisha tukagonge ugali kwa nyama choma kitaaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Safiii
Jana nilikuwa nawalindia Uzi.Naona jana ulikesha hapa.
Kila nikiangalia post zako nyingi ni saa 7 mpaka alfajiri.
Hongera
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji39][emoji39][emoji39]
Haya ndiyo Mambo Sasa[emoji7][emoji7][emoji126][emoji126]
Nitakuja next month
Sent using Jamii Forums mobile app
Pendeza sana....
Jana nilikuwa nawalindia Uzi.
Niambie,Jana na leo umekula Nini..sio kwa hizo furaha [emoji2960][emoji3526]
Sent using Jamii Forums mobile app
Safii... wapi hiyo
Naona ,mchanga wa pwani...
Pendeza...
Ngoja mvua inyeshe uone...
Kuna nyumba siwez kukaa hata nipewe hela[emoji134]
Sasa ikiporomokea huku chini!?
Sent using Jamii Forums mobile app