moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Hakuna kitu kama hicho, huo siyo mto Songwe wa kule kwenu Kyera au Momba wa kule Songwe
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Pengine kuna jambo la hatari lilishawshi kukuta mpaka kupelekea Uoga huo au Umezaliwa nao.?
Basi mimi hakuna mahali napenda kupaona kama hizo fukwe, yani hata wanisahau hapo nitaishi tu[emoji51][emoji51]
Sijawahi kuogelea hata siku moja,hata kujaribu sijawahi.
Nasikia kwenye maji huwa kunakuwa na wadudu/wanyama hatarishi..
Nikikumbuka na wale Watu wamekufa majini basi Mimi hamu yote inaniisha.
Kuna vitu sijawahi tamani
Sent using Jamii Forums mobile app
Nitaanza na hizo za bahari hindiii😋Uje fukweni ujionee,
Fukwe maridadi za Ziwa Tanganyika.
Fukwe za bahari ya hindi nk
Sent using Jamii Forums mobile app
Nitaanza na hizo za bahari hindiii[emoji39]
Mimi tangu nizaliwe sijawahi ,hata mtoni sijawahi.Acha uoga, kuogelea ni bonge la burudani hasa kama unaogelea mto/ziwa/bahari ambayo haina wanyama wakali kama mamba au samaki papa
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hakuna kitu kama hicho, huo siyo mto Songwe wa kule kwenu Kyera au Momba wa kule Songwe
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Embu usinitishe na mimi[emoji23][emoji23][emoji23]
Ukinipeleka kula Bata please usije nipeleka sehemu Kama hiyo,sijui ufukweni.Hizo ndiyo place za kula bata mtakatifu.
Ziwa Tanganyika.
Unapata kitu roho inapenda kisha unachezea maji ya Ziwa [emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Ila huyu Numbisa kwenye jukwaa lao la burudani huwa ananivunja mbavu Sana akianza kubishana na yule jamaa Nani sijui mtanashati[emoji23][emoji23] akifatiwa na Numby
Mimi tangu nizaliwe sijawahi ,hata mtoni sijawahi.
Yaani sijawahi hata kwa bahati mbaya
Sent using Jamii Forums mobile app
Whozhaaaaaaaa[emoji7][emoji7][emoji7][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji126][emoji126]
Yani Zanzibar lazima nifike tu, kikubwa uhaiii
[emoji23][emoji23][emoji23] basi ndio maana ule mkwara wa mama umeishi kichwani hadi leo.....Sasa Moud atakupeleka wapi kula bata kama sio kigamboni[emoji2088][emoji2088][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kipindi nakua,mama alishawahi kuniambia kwamba ole wangu anione naogelea[emoji1787][emoji1787].
Yaani Mimi Mambo ya majimaji kwa kweli hapana,hata panton la hapo posta kwenda kigamboni nilikataa kupanda[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha numby anajua sana kuwapanikisha wale timu Mondi,Ila huyu Numbisa kwenye jukwaa lao la burudani huwa ananivunja mbavu Sana akianza mubishana na yule jamaa Nani sijui mtanashati
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi lile panton la kuelea kwenye maji yaani siwezi kupanda[emoji1787][emoji1787][emoji1787].[emoji23][emoji23][emoji23] basi ndio maana ule mkwara wa mama umeishi kichwani hadi leo.....Sasa Moud atakupeleka wapi kula bata kama sio kigamboni[emoji2088][emoji2088][emoji23][emoji23]