Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,950
- 236,667
Yaani huwa nacheka sanaHahaha numby anajua sana kuwapanikisha wale timu Mondi,
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani huwa nacheka sanaHahaha numby anajua sana kuwapanikisha wale timu Mondi,
[emoji23][emoji23][emoji23] Moud anayo kaziMimi lile panton la kuelea kwenye maji yaani siwezi kupanda[emoji1787][emoji1787][emoji1787].
Labda anipandishe nikiwa nimezimia[emoji85]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji3590][emoji3590]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23] Moud anayo kazi
nina rafiki yangu alikuwa muoga wa maji kama wewe, eti mwaka huu ananiambia nimpeleke akajifunze kuogelea...nikacheka sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Tukitoka out nitampeleka tukuyu milimani kule.
Mimi maswala ya kuongelea nitamuaibisha bure[emoji23],sijui kuogelea Mimi[emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Safiii
AiseePengine kuna jambo la hatari lilishawshi kukuta mpaka kupelekea Uoga huo au Umezaliwa nao.?
Basi mimi hakuna mahali napenda kupaona kama hizo fukwe, yani hata wanisahau hapo nitaishi tu😬😬
✔✔✔Hizo ndiyo place za kula bata mtakatifu.
Ziwa Tanganyika.
Unapata kitu roho inapenda kisha unachezea maji ya Ziwa [emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kicheko kikubwa...
Mimi Sina ndoto za kuja kujifunza kuogelea[emoji1787]nina rafiki yangu alikuwa muoga wa maji kama wewe, eti mwaka huu ananiambia nimpeleke akajifunze kuogelea...nikacheka sana[emoji23][emoji23][emoji23]