myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
19:13
Uyole hakuna mito? Au mtoto wa kishua?
😂😂😂 kunaepukika kabisa
Ulafi wao utakuja kuiangamiza dunia
Umefanikiwa katika pambano lako bro? Ustaadh jana alifanya madhara makubwa sana [emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23] kunaepukika kabisa
Pendeza
Wa kishua wapi?Uyole hakuna mito? Au mtoto wa kishua?
Jifunze kuogelea. Ni muhimu sana kwa sababu huwezi jua lini utakuwa kwenye dhahama
Mwaka wenu huu. Furahini !!!
😃😃😃 pambano lilikua rahisi sana nimempiga kwa KO sidhani kama atarudi tena humuUmefanikiwa katika pambano lako bro? Ustaadh jana alifanya madhara makubwa sana [emoji16][emoji16][emoji16]