Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Hia shi kamusi....
Na hiyo ndiyo sababu nyingine inayonifanya nisijifunze kuogelea[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kukaa uchi mbele za watu Ni kipaji
Sent using Jamii Forums mobile app
Siyo huku Afrika au Russia wallahi. Hawa fomu foo felia hawa (FFU) uwafanyie hivi we?
Unapotea sana katika uzi huu. Siyo vizuri !!![emoji106] That is the spirit
Kwani King wake unamuona?
Mimi siwezi kabisa kuoga mbele za watuUnaweza kuvaa nguo za heshima siyo lazima bikini. Lete sababu nyingine
Kuna kitu umetoa katika post hii. Ulitishiwa maisha ama?
Mbele ya bae wako/mumeo unaweza?