Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

464822831_93197.jpeg
 
Huyu Ayyanna anatuchora tu,ngoja aje nimuulize maswali, isiwe ni mambo ya kisa cha "Laila" huyu anadai Laila ni mpenzi wake na yule anadai Laila ni mpenzi wake na wale pia, lakini tukimuuliza "Laila" anawakana wote.

Mrembo Ayyanna huyu mfilisti ni nani kwako au anakuwinda kama navyokuwinda mimi ?
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
hebu muulize Don SHIMBA YA BUYENZE akupe copy ya cheti cha ndoa maana yeye ndio mtunza kumbukumbu humu
Mimi nilikaa kimya ili nipime integrity na loyalty ya shemeji. Kuongea na mabaharia mchana kweupe mbele ya kandamnasi hakufai [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
 

Sent using Jamii Forums mobile app
Mianasiasa [emoji36][emoji36][emoji36][emoji36]
 
Back
Top Bottom