Hawachi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2018
- 12,010
- 54,204
Sawa kaka mkubwaKuwa single siyo sifa ya kujivunia,
Kuomba msamaha ni sunnah.
"Lau Mwenyezi Mungu angeruhusu kiumbe kumsujudia Kiumbe mwingine, basi ningewaamrisha wanawake wawasujudie waume zao"----Rasul Llahu Muhammad 'saw'
U hali gani?