Hakuna hata miili ya kufufua. Marehemu wote waliungua vibaya beyond recognition mpaka jana wachunguzi walikuwa bado wanaokota vipande halafu huyu nabii wa Ghana anaongelea kuwafufua? Ila kwenye miujiza kila kitu kinawezekana [emoji1545][emoji1545][emoji1545]