Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Aisee. Sikutegemea kama ungejitokeza. Kwema lakini? Kuonekana kwako hapa kumekuwa kwa hatihati sana....sawa na TH tu....[emoji16]
Kwema sana Bro sijui hapo kwako?.... Wewe acha tu yani kila nikijitahidi kukomaa hapa nashindwa kabisa .....

TH tayari yupo Upanga ndio maana unaona ratiba yake haisomeki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…