Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

2.23282491888879488E18.jpeg
 
Hiyo 10% imeharibu kila kitu..
Kuongelea 10% ni dhahiri hakutumwa na Mungu amejituma mwenyewe
Hakuna hata miili ya kufufua. Marehemu wote waliungua vibaya beyond recognition mpaka jana wachunguzi walikuwa bado wanaokota vipande halafu huyu nabii wa Ghana anaongelea kuwafufua? Ila kwenye miujiza kila kitu kinawezekana [emoji7][emoji7][emoji7]
View attachment 1342280

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom