Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

.
FB_IMG_1580461854570.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahahaha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mi pia nilitaka kusema jambo hilo, maana Hawachi ni mpendwa wetu angalau tuone alivyopendezana kisuruali chake[emoji23][emoji23][emoji2211][emoji2211]
Wewe unazivaaga mpendwa? Unaweza kutupia kapicha tukaona? [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kutoka kwenye kunyenyekewa na vikosi vya jeshi la polisi, magereza, uhamiaji nk, mpaka kuchunguzwa na TAKUKURU siyo jambo dogo, hata ungekuwa wewe lazima sukari ipande, presha, vidonda vya tumbo na maruweruwe mengine.
Ila akumbuke aliyomfanyia kamishina wa magereza.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hii siyo mara yake ya kwanza kukumbana na misukosuko hii ya rushwa...Wenzake wasomi akina Joka Makengeza wanapiga pesa ndefu kijanja yeye anasaini mamikataba ya ajabu waziwazi bila hata kuangalia upepo ulivyo. Dili za pesa ndefu hizi unakula na watu wa karibu wa mkuu mwenyewe kama inavyosemekana kwa Joka Makengeza kuwa mpaka akina Riz One na akina Lugumi walipata mgao...
 
Back
Top Bottom