Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,950
- 236,667
Ili uone nini? Ushindwe na ulegee!!!
Wanyakyusa ni habari nyingine. Hata Wasukuma wakasome [emoji16][emoji16][emoji16]
AiseeeKubana bana miguu, kujinyonga nyonga na kuleta shobo zisizo na maana kazini[emoji2221][emoji2221][emoji2221][emoji2221]
[emoji16][emoji16][emoji16] nataka tu nione akisimama kwa kunyooka anafananajeIli uone nini? Ushindwe na ulegee!!!
Chana mistari kamanda tuburudike...
Tumuite Ninge atuwekee biti tu basi songi hevi namba wani kwenye chati za Billboard wallahi mane lavusi mi [emoji16][emoji16]
Hawa jamaa hawafai aisee...kichurachura sana pamoja na mitama ya hapa na pale...