ho chi minh
JF-Expert Member
- Sep 27, 2016
- 32,904
- 163,077
achana na Anfield umeona mgoli wa Samata?
Nipo na liver mie[emoji91][emoji91]achana na Anfield umeona mgoli wa Samata?
[emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119]
wapewe tu kombe lao tu tushachoka na hizi kelele, mnabahati sana this season match kama yaleo watakatifu wenyewe ndio wamezuba tu lakini match ilikuwa yao kabisa.This is Liverpool [emoji91][emoji91][emoji91]View attachment 1343650
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe umekubali Kama tunapata kombe?wapewe tu kombe lao tu tushachoka hizi kelele mnabahati sana this season match kama yaleo watakatifu wenyewe ndio wamezuba tu match ilikuwa yao kabisa.